KAZI YA JOB MBELE YA COASTAL UNION ILIKUWA PEVU

    DICKSON Job beki wa Yanga ni mtu wa kazi ambapo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union wakati Yanga wakitangazwa kuwa mabingwa aliweza kuwa kwenye ubora.

    Jumla alipiga pasi 80 na katika pasi hizo alizotoa ni moja pekee iliweza kupotea kwa kutofika mahali ambapo alikuwa anahitaji ifike.

    Katika pasi hizo mguu ambao anapenda kuutumia ni ule wa kulia  leo tupo naye hapa kwenye mwendo wa data namna hii ilikuwa Juni 15,2022:-

    Pasi zake

    Alitumia kichwa kupiga pasi 4

    Mguu wa kulia alipiga pasi 72

    Alipoteza pasi 1

    Alitumia mguu wa kushoto kupiga pasi 4

    Aliweza kukokota mpira mara 25

    Alipewa jukumu la kupiga faulo mara 1

    Kadi ya njano 0

    Kadi nyekundu 0

     

     

    Imeandikwa na Dizo Click

    Previous articleMABEKI WA KAZI WAWILI KUPEWA MIKATABA YANGA
    Next articleMAKOCHA HAWA WAINGIA RADA ZA SIMBA