
KOCHA AFUNGUKIA KASI YA MPOLE
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold amesema kuwa bado anaamini kwamba mshambuliaji wake George Mpole ataendelea kutimiza majukumu yake ya kufunga pale anapopata nafasi. Mpole ni namba moja kwa utupiaji kwa wazawa akiwa na mabao 15 na pasi tatu za mabao ndani ya ligi huku Fiston Mayele wa Yanga akiwa ni kinara wa utupiaji…