
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
KIUNGO wa Klabu ya Simba, Rally Bwalya atasepa ndani ya kikosi hicho baada ya mabosi wa timu hiyo kuweka wazi kwamba wamefikia makubaliano na timu moja iliyokuwa inahitaji saini yake. Simba wameweka wazi kuwa wanashukuru kwa huduma ya kiungo huyo raia wa Zambia ambaye alitua hapo Agosti 2020 akitokea Klabu ya Power Dynamo. Ni dili…
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Azam ipo katika mazungumzo na aliyewahi kuwa Beki na Nahodha wa Yanga, Lamine Moro kwa ajili ya kuimarisha safu yao ya ulinzi msimu ujao wa 2022/23. Beki huyo kwa sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na Newroz SC ya nchini Iraq aliyojiunga nayo Januari mwaka huu kumalizika. Ikumbukwe kuwa,…
IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ yupo kwenye rada za Yanga na Simba ambao wanawania saini yake. Nyota huyo amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ndani ya Coastal Union akiwa ametupia mabao 7 ndani ya ligi na ni namba moja kwenye timu hiyo. Habari zimeeleza kuwa Simba wanahitaji kuipata saini ya…
BAADA ya Said Ntibanzokiza kuachana na Yanga kocha wa makipa wa zamani wa timu hiyo Vladimir Niyonkuru raia wa Burundi ameweka wazi kuwa anatamani kumuona kiungo huyo akisaini Simba. Saido mkataba wake ulimeguka Mei 30 na Yanga waliweka wazi kwamba wanamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ambayo atakuwa kwa wakati ujao. Kocha huyo amesema:”Nimesikia…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ushindi ambao wameupata mbele ya Mbeya City ni muhimu kwao katika kuongeza hali ya kujiamini kwa mechi zijazo. Ushindi huo ni kisasi kwa Simba ambao walinyooshwa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza na kuacha pointi tatu mazima mbele ya Mbeya City. Jana Juni 16, Uwanja wa Mkapa…
MORRISON ni Yanga tena ndani ya Championi Ijumaa
SIMBA SC ipo katika mazungumzo ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji Augustine Okrah anayeichezea Bechem United FC ya Ghana. Timu hiyo imepanga kukiboresha kikosi chao kitakachowavusha hatua ya robo fainali ya michuano ya kimataifa watakayoshiriki msimu ujao baada ya misimu ya karibuni kuishia hatua hiyo. Wakati mshambuliaji huyo akitarajiwa kutua, Simba imepanga kuachana na…
UNAKUMBUKA uongozi wa Yanga ulisema kuwa kuna mchezaji aliyecheza Ligi ya Angola atasajiliwa na Yanga msimu huu? Sasa ni wazi kuwa klabu hiyo tayari imemelizana na straika huyo anayefahamika kwa jina la Adriano Belmiro Duarte Nicolau ‘Yano’ anayekipiga Petro Luanda ya nchini humo. Yano Belmiro mwenye umri wa miaka 29, katika michuano ya kimataifa msimu…
Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema Rais mtarajiwa wa klabu hiyo Injinia Hersi Said ndiyo mwamba aliyeleta mafanikio makubwa ndani ya klabu hiyo kutoka na kujitoa kwake kuipambania Yanga katika kila hatua. Manara amemmwagia Hersi sifa hizo wakati akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wake ambao ameupa jina la Mkutano wa kuhutubia…
STAA wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa furaha kubwa kuweza kuchukua ubingwa na hiyo imetokana na sapoti ya viongozi,pia ilikuwa ni ligi ambayo hajawahi kucheza ametumia nguvu zote. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union umewafanya Yanga watwae ubingwa wa 28 huku Mayele akifikisha mabao 16
MASTAA watatu wa Simba ambao wamehusika kwenye mabao 8 kati ya 33 wanatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City, Uwanja wa Mkapa. Ni John Bocco mwenye mabao 3 Jonas Mkude mwenye pasi mbili za mabao na Clataous Chama mwenye mabao matatu hawa jana na juzi walipewa program maaalumu kwa ajili ya kuwarejesha kwenye…
AZAM FC imewashusha Geita Gold kwenye nafasi ya tatu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza. Mchezo huo ulichezwa katika Uwanja wa Azam Complex na ulikuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa Mbeya Kwanza wanapambana kushuka daraja. Ni mabao ya Shabaan Chilunda dk ya 45+1 na Idris Mbombo aliyepachika bao hilo dk ya…
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Singida Big Stars wapo kwenye hesabu za kuoresha kikosi chao na wataanza kuwavuta nyota wenye uzoefu katika kikosi hicho. Singida Big Stars imepanda daraja kutoka Championship ambapo kwa sasa ipo kwenye maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23 ndani ya Ligi Kuu Bara na itatumia Uwanja wa Liti,Singida. Dickson Ambundo,Deus Kaseke,Paul Godfrey,Erick…
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wamemalizana na nyota wawili kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23 kwenye ligi na mechi za kimataifa. Ni Stephan Aziz KI ambaye ni mali ya ASEC Mimosas yeye ni kiungo mshambuliaji na Lazarous Kambole kutoka Kaizer Chiefs yeye ni raia wa Zambia ambaye ni mshambuliaji. Sababu kubwa ya kuweza kunasa…
KIUNGO Victor Akpan mali ya Coastal Union anatajwa kuwavuruga vigogo ambao wanawania saini yake kwa sasa. Ni Simba walianza kuiwania saini ya kiungo huyo ambaye jana mbele ya Yanga aliweza kutimiza majukumu yake kwa umakini licha ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0. Habari zinaeleza kuwa Simba wana nafasi kubwa ya kumnasa kiungo huyo…
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya nyota Joyce Lomalisa ambaye anakipiga Klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola. Nyota huyo ni beki ambaye anakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Hivyo kutua kwake ndani ya Yanga kutafanya aweze kuungana na beki mwingine wa kazi, Yannick Bangala…