YANGA:UBINGWA ASILIMIA 99

 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwa sasa licha ya kwamba bado hawajashinda ila ni suala la muda tu. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union ikiwa watashinda mchezo wa leo basi watakuwa ni mabingwa kwa kuwa pointi 67 ambazo watazipata hazitafikiwa…

Read More

HIVI NDIVYO PABLO ATAKAVYOFANYA USAJILI SIMBA

UONGOZI wa Simba umesema kuwa, kocha wao mpya atatumia ripoti ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mhispania, Pablo Franco kwa ajili ya kufanya usajili wa msimu ujao. Simba tayari imeanza usajili wa kimyakimya huku wakimsubiria kocha mpya atakayetangazwa hivi karibuni akija kuchukua mikoba ya Pablo aliyetimuliwa Mei, mwaka huu. Timu hiyo ipo katika hatua…

Read More

M-BET YAIPIGA TAFU TASWA SC

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha nchini, M-Bet Tanzania imeisaidia vifaa vya michezo timu ya Waandishi wa Habari za michezo nchini, Taswa SC kwa ajili kutimika katika shughuli mbalimbali za michezo nchini. Vifaa hivyo ni jezi na mpira ambapo Meneja Masoko wa M-Bet Tanzania, Allen Mushi amesema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuvutiwa na mwenendo…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA KUMREJESHA LUIS

BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa za kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Luis Miquissone raia wa Msumbiji kurejea katika timu hiyo, uongozi wa Simba SC umeibuka na kufungukia ishu nzima. Luis alijiunga na Al Ahly Agosti 26, 2021 kwa mkataba wa miaka minne akitokea Simba baada ya kucheza kwa takribani msimu mmoja na nusu kuanzia…

Read More

UBINGWA WA 28 WANUKIA LEO YANGA

JUNI 15, Uwanja wa Mkapa saa 2:30, Yanga v Coastal Union ni mchezo wa mzunguko wa pili ule wa kwanza Uwanja wa Mkwakwani, ubao ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga. Mchezo wa leo ikiwa Yanga itashinda itafikisha pointi 67 ambazo hazitaweza kufikiwa na timu nyingine hivyo itakuwa imeshatwaa ubingwa wa ligi. Ikitokea ikapoteza utakuwa ni mchezo…

Read More

CHEKI VIGONGO VYA KAZI ZA MATOLA SIMBA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba ana vigongo vitano ndani ya Juni kuweza kuiongoza timu hiyo kukamilisha mzunguko wa pili. Mabingwa hao watetezi hawana uhakika wa kuweza kutetea taji hilo kutokana na kuachwa kwa pointi 13 na watani zao wa jadi Yanga walio nafasi ya kwanza na pointi 64. Ni mechi za kazi…

Read More

MPANGO WA BIASHARA WAKWAMA KAITABA

MPANGO wa Biashara United kusepa na pointi tatu mbele ya Kagera Sugar ulikwama baada ya kushindwa kushinda. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa Kocha Mkuu, Khald Adam ambaye alichukua mikoba ya Vivier Bahati ambaye alifutwa kazi kutokana na mwendo mbaya wa timu hiyo kwenye mechi 6 mfululizo. Kagera Sugar nao wakiwa Uwanja wa Kaitaba…

Read More

KOCHA SIMBA AINGIA RADA ZA AZAM FC

WAKATI mabosi wa Simba wakitajwa kuwa kwenye mazungumzo na mtaalamu wa viungo ili aweze kuibuka ndani ya kikosi hicho ambaye ni Adel Zraine, vigogo wengine nao wamemvutia kasi kocha huyo.  Zraine aliwahi kuwa ndani ya kikosi cha Simba na alifungashiwa virago baada ya timu hiyo kuodolewa katika hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu…

Read More

VIWANJA VINNE KUJENGWA SIMBA,MPANGO KAZI UPO HIVI

BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa wana mpango wa kuwa na viwanja vinne kwenye eneo la Simba Mo Arena,Bunju kwa ajili ya matumizi ya timu hiyo. Jana, Barbara aliongozana na  msanifu majengo, (Architect) eneo la Bunju kukagua mipaka ya eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi kabla ya Bodi ya Wakurugenzi kukutana Ijumaa ili kumpitisha…

Read More

MAYELE,FEISAL WAIBUKIA BUNGENI

MAJINA ya nyota wawili wanaocheza ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine nabi leo Juni 14,2022 yametajwa bungeni. Ni Fiston Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 14 na pasi tatu pamoja na Feisal Salum ambaye alitupia bao la ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho uliochezwa…

Read More

WATATU WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION

MASTAA watatu wa Yanga wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Juni 14,2022. Diarra Djigui kipa namba moja wa Yanga anatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, kesho Jumatano saa 2:30 usiku ukiwa ni wa mzunguko wa pili. Sababu kubwa ambayo itamfanya aweze kuukosa mchezo huo…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

 LIGI Kuu Tanzania Bara leo Juni 14 inaendelea ambapo kuna mechi mbili zitachezwa kwenye viwanja tofauti. Ni KMC yenye pointi 31 baada ya kucheza mechi 25 hii itamenyana na Tanzania Prisons yenye pointi 25 aada ya kucheza mechi 26. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Pia mchezo mwingine ni ule wa Kagera Sugar yenye…

Read More

SIMBA WAMVUTA MBADALA WA LWANGA

IMEELEZWA kuwa Simba imefikia makubaliano mazuri na uongozi wa Coastal Union ya kumnunua kiungo mkabaji Mnigeria, Victor Akpan. Kiungo huyo ni kati ya viungo bora wakabaji walioonyesha kiwango bora katika msimu huu ambaye anakuja Simba kuchukua nafasi ya Thadeo Lwanga ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Mnigeria huyo ndio alikuwa kikwazo katika michezo…

Read More

YANGA KUSAJILI MAJEMBE MANNE

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamepanga kuongeza wachezaji wanne ama watatu wa kimataifa kwa ajili ya msimu ujao wa 2022/23.  Manara ameweka wazi kuwa kuna baadhi ya nyota kadhaa wanaocheza soka katika Ligi ya Afrika Magharibi, Ligi ya Afrika Kusini, Ligi ya Angola na nyota wa Kimataifa aliyewahi kucheza soka la kulipwa…

Read More