
MTIBWA SUGAR WAPANDA KWENYE LIGI NAFASI MOJA
USHINDI wa mabao 3-1 waliopata Mtibwa Sugar unawapandisha kwa hatua moja kutoka nafasi ya 12 waliyokuwa mpaka ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Wakati Mtibwa Sugar wakiwa kwenye furaha mashabiki wa Ruvu Shooting wao wapo kwenye huzuni kwa sababu timu yao imeganda palepale ilipokuwa nafasi ya 13 na pointi zao ni 28. Mabao…