


MBWANA MAKATA APUNGUZIWA ADHABU YA KIFUNGO
MBWANA Makata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Mbeya Kwanza na meneja wa timu hiyo David Naftari wamepunguziwa ashabu yao ya kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano. Taarifa ambayo imetolewa leo Julai 9,2022 imeweza kueleza kuhusu suala hilo la viongozi hao kupunguziwa adhabu. Awali ilibidi watumikie adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda…

RAIS NI INJINIA NA MAKAMU NI ARAFAT
INJINIA Hersi Said kwa sasa ni rais wa kwanza ndani ya Klabu ya Yanga baada ya historia mpya kuandikwa. Wanakuwa ni vingozi wa kwanza ndani ya Yanga aada ya kuingia kwenye mfumo wa mabadiliko na kuongozwa na rais ambapo zamani kiongozi mkubwa alikuwa ni Mwenyekiti. Pia Mwenyekiti wa mwisho ndani ya Yanga yenye maskani yake…

KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA!
Sloti ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777 inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii. Tunapozungumzia umuhimu wa…

BREAKING:NYOTA WA KIMATAIFA ATAMBULISHWA YANGA
NYOTA wa kimataifa kutoka Burundi Gael Bigirimana ametambulishwa leo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Ni kiungo mshambuliaji Bigirimana ambaye yupo kwenye ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kuwa na Wananchi ambao wameamua jambo lao. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza kuwa nyota huyu ni zawadi kutoka kwa rais wa…

VIDEO:ANGALIA MAZOEZI YA MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA
SIMBA leo Julai 9,2022 imemtambulisha mshambuliaji Habib Kyombo ambaye alikuwa anacheza ndani ya kikosi cha Mbeya Kwanza, unakuwa ni usajili wa kwanza kwa mzawa kuweza kutambulishwa aada ya kukamilisha ule wa Moses Phiri

VIPAUMBELE VYA MGOMBEA NAFASI YA URAIS YANGA
IKIWA leo Julai 9,2022 siku ya uchaguzi wa Yanga ambao unafanyika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,mgombea pekee wa nafasi ya Urais Injinia Hersi Said amezungumzua vipaumbele vyake. Vipaumbele vyake ni pamoja na:- 1. Miundombinu ya Klabu ya Yanga. a. Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000 – KAUNDA…

SAUTI:AZAM FC WATAMBIA BEKI WAO WA KUPANDA NA KUSHUKA
NATHANIEL Chilambo nyota aliyekuwa anacheza ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting msimu wa 2022/23 atakuwa ni mali ya Azam FC ambayo itakwenda kushiriki mashindano ya kimataifa baada ya kumaliza msimu ikiwa nafasi ya tatu. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amesema kuwa bado wataendelea kushusha wachezaji wengine.

BREAKING:SIMBA YATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA
HABIB Kyombo nyota aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Mbeya Kwanza leo Julai 9 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba. Nyota huyu anakuwa ni mzawa wa kwanza kuweza kutambulishwa ndani ya kikosi hicho ambacho msimu wa 2021/22 ulikuwa ni mbaya kwao kwa kukosa kila kitu walichokuwa wanapambania. Kombe la Shirikisho, Ngao ya Jamii na lile…

VIDEO:SUMA ATAJA TOFAUTI YAKE NA ARAFAT,WOTE WANAGOMEA NAFASI MOJA
IKIWA leo ni siku ambayo kwa mujibu wa kalenda ya Kamati ya Uchaguzi wa Yanga ni siku ya uchaguzi kwa nafasi ya Rais,Makamu wa Rais pamoja na Wajumbe Watano,katika kampeni zake, Suma Mwaitenda ambaye ni mgombea nafasi ya makamu wa rais amebainisha utofauti wake na mgombea mwenzake ambaye ni Arafat Haji

UCHAGUZI YANGA LEO,RAIS MPYA KUPATIKANA
LEO Jumamosi Julai 9,2022 Yanga itaingia kwenye historia mpya ya kumpata rais ambaye ataiongoza timu hiyo kutoka kwenye mfumo wa kuongozwa na mwenyekiti. Yanga wanatarajia kumpata rais wa timu hiyo watakapokamilisha zoezi la uchaguzi leo Jumamosi. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,Dar. Mbali na kumchagua rais pia Yanga…

MTATUAMBIA,MASHINE 6 SIMBA HADHARANI,AZIZ KI AANDALIWA SAPRAIZ YANGA
MASHINE 6 Simba hadharani, Aziz KI aandaliwa sapraiz Yanga ndani ya Championi Jumamosi

VIDEO:JEMBE ATAJA UBINGWA WA YANGA,AZUNGUMZIA USAJILI WA SIMBA
SALEH Ally,’Jembe’ ameweka wazi kuwa kuna mambo ambayo yaliweza kumfanya aweze kuona kwamba Yanga itaweza kutwaa ubingwa mwanzoni kabisa mwa msimu wa 2021/22, amezungumzia usajili wa Simba pia

SAUTI:YANGA KUMUONDOA MCONGO KISA MORRISON
USAJILI wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ndani ya kikosi cha Yanga kunawafanya mabosi hao kufikiria kuweza kumuondoa winga Jesus Moloko ambaye ni raia wa DRC Congo

PHIRI ANATEGEMEA JAMBO HILI SIMBA
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Moses Phiri, amesema kuwa anategemea kupata ushirikiano mzuri ndani ya Simba kutoka kwa kiungo Clatous Chama na kuifanya timu hiyo kuwa tishio zaidi kwa msimu ujao jambo ambalo anaamini litaisaidia kurejea katika makali yake. Phiri ndio usajili wa kwanza kutambulishwa ndani ya Simba kwa msimu huu ambapo mchezaji huyo ana uraia…


HUYU HAPA MVP LIGI KUU BARA 2021/22
KATIKA usiku wa tuzo za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 uliweza kukamilika kwa kila mmoja kuweza kujua kile ambacho amekivuna. Kwa upande wa tuzo ya mchezaji bora ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa umakini ilikwenda kwa kiungo wa Yanga, Yannick Bangala. Tuzo hiyo ilitolewa na mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Waziri wa Sanaa, Utamaduni na…