ISHU YA KUONGEZWA DAKIKA 100 KWENYE MECHI IPO HIVI

BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo wa mpira wa miguu kutoka 90 hadi 100 kabla ya mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar, FIFA imeibuka na kukanusha taarifa hizo. Taarifa kutoka fifa imesema:“Kufuatia taarifa za uzushi zilizosambaa leo,…

Read More

MKWAKWANI, COASTAL UNION 0-1SIMBA,MAPUMZIKO

Mapumziko, Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Coastal Union 0-1 Simba. Bao la kuongoza kwa Simba limepachikwa na kiungo Bernard Morrison dk ya 40 baada ya beki wa Coastal Union kufanya makosa katika kupiga pasi kwenda mbele. Coastal Union chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda imeweza kuotea mara mbili na wamepiga mashuti matatu ambayo yamelenga lango. Simba…

Read More

COURTOIS AANZA KUJISHTUKIA KUZOMEWA CHELSEA

NI kama ameanza kujishtukia vile. Thibaut Courtois anatarajiwa kurudi kwenye uwanja wake wa zamani wa Stamford Bridge leo Jumatano katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, na kipa huyo Mbelgiji wa Real Madrid amesema: “Natumaini kwamba (mashabiki Chelsea) hawatanizomea.”     Real Madrid itatarajia kulipiza kisasi cha kufungwa katika nusu fainali ya michuano hiyo…

Read More

PAMBANO LA DILLIAN WHYTE NA FURRY LIMEKUFA

PAMBANO la bondia Dillian Whyte na Tyson Fury limekufa rasmi, Whyte hatocheza tena pambano lake la ubingwa wa dunia uzito wa juu dhidi ya Fury Aprili 23, mwaka huu, baada ya kupata jeraha la bega wakati akijiandaa na pambano hilo. Mapromota wa pambano hilo, Frank Warren na Bob Arum, wamethibitisha kuwa, Fury ambaye ni bingwa…

Read More

SIMBA KAZINI LEO MBELE YA COASTAL UNION,MKWAKWANI

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba leo Aprili 7 anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union. Pablo amesema kuwa anadhani ni moja ya mchezo utakaokuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kuhitaji kupata pointi tatu muhimu. ”Ninajua kwamba kila mmoja anahitaji kuona kwamba namna gani tunaweza kupata ushindi kwani…

Read More

AZAM FC YACHAPWA 2-1 YANGA

UWANJA wa Azam Complex, dakika 90 za zimekamilika na Yanga inasepa na pointi tatu muhimu ikiwa ugenini. Vinara hao wa ligi wanafikisha pointi 51 wamepindua meza kibabe baada ya kuanza wakiwa wanadaiwa bao moja kisha wakalipa na kuogeza bao lingine la ushindi. Azam FC wanapaswa wajiliamumu wenyewe kwa kuwa walikosa nafasi za wazi tatu za…

Read More

AZAM V YANGA,ACHA INYESHE IJULIKANE PANAPOVUJA

MFUMO ni uleule wa kusaka ushindi kwa timu zitakazoshuka uwanjani na hii ya leo ni Dabi ya Dar es Salaam itakayopigwa Uwanja wa Azam Complex saa 2:15 usiku. Unaambiwa acha inyeshe tuone panapovuja baada ya dakika 90 itafahamika nani ni nani kati ya Azam FC v Yanga. Timu zote zina wakali wa kucheka na nyavu…

Read More