SIMBA YATAMBA KUTINGA HATUA YA NUSU FAINALI
UONGOZI wa kikosi cha Simba, umetamba kuwa walikuwa tayari wamejiandaa kukutana na mpinzani yeyote kwenye Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na wanaamini wana uwezo wa kuwaondoa Orlando Pirates ya Afrika Kusini na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo. Katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika Simba wamefuzu hatua ya robo fainali baada ya…