YANGA WAPIGA HESABU ZA KUITULIZA TABORA UNITED

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga msimu wa 2023/24 wamebainisha kuwa moja ya malengo yaliyopo ni kupata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Tabora United. Leo Mei 25 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Tabora United. Mchezo huo ni maalumu kwa Yanga kukabidhiwa taji la ligi ambalo…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA MZUNGUKO WA 29

FUNGA kazi inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo Mei 25 kunatarajiwa kuwa na mechi kali za maamuzi kwa kila timu kupambania pointi tatu muhimu. Hii hapa ratiba ipo namna hii:- Coastal Union v JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Simba dhidi ya KMV, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ihefu v Dodoma Jiji, Uwanja…

Read More

MWAMBA MGUNDA NA KASI YAKE HUKO UNYAMANI

JUMA Mgunda Kocha Mkuu wa Simba kwenye mechi ambazo amekaa katika benchi akishirikiana na Seleman Matola ndani ya msako wa dakika 90 ameonyesha kasi huko unyamani. Ipo wazi kwamba Simba inapambana kumaliza nafasi ya pili na mbabe wake mkubwa ni Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo zote zina pointi 63 na mechi mbili…

Read More

Alhamisi ya Leo ni Za Hela Meridianbet

Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima Meridianbet wanaendelea kukupatia kile ambacho wewe unakitaka kwenye mechi za ligi mbalimbali zinazoendelea Duniani kote. Unakosaje sasa kukwapua mpunga wa maana?. Beti sasa na ushinde na Meridianbet. Ligi kuu ya Misri (EGYPT PREMIER LEAGUE) kutakuwa na mtanange mzito leo hiihsaa 1:00 usiku El Zamalek atamualika nyumbani kwake Future FC…

Read More

SIMBA KWENYE HESABU NDEFU

WAKIWA na mchezo dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Arusha Mei 25 2024 benchi la ufundi la timu hiyo limebainisha kuwa hesabu ni kupata matokeo kwenye mechi ambazo wanacheza. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ushindi wake mkubwa akiwa na timu hiyo ilikuwa mchezo dhidi ya Geita Gold walipopata ushindi wa mabao 4-1 baada ya dakika…

Read More

YANGA WANABALAA ZITO

YANGA vinara wa Ligi Kuu Bara wana balaa zito kutokana na kasi yao kuwa kwenye ubora kwenye mechi ambazo wanacheza msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa msimu wa 2023/24 walitwaa taji hilo baada ya kufikisha pointi 71 mchezo wao wa 27 dhidi ya Mtibwa Sugar uliochezwa Uwanja wa Manungu. Kwenye mchezo wa…

Read More

ORODHA YA MASTAA SIMBA AMBAO WATASEPA, MMOJA AMESHAKATWA

KUNA orodha ndefu ya mastaa wa Simba ambao watasepa katika timu mara baada ya mzunguko wa pili kugota mwisho kutokana na mikataba yao kugota mwisho wengine ni ofa mpya ambazo wanazo mezani jambo litakalofungua hesabu za wao kuondoka jumlajumla. Inatajwa kuwa mwamba Kramo jina lake limeshaondolewa mazima kwenye orodha ya wachezaji wa Simba kutokana na…

Read More

DODOMA JIJI YAPIGWA 4G NA YANGA

MASTA Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga amepindua Meza ya vita ya ufungaji bora baada ya kufunga mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha mabao 17 akiwa namba moja chati ya ufungaji. KI amefunga mabao mawili wakati ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 0-4 Yanga ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa…

Read More

FAINALI YA YANGA V AZAM KUPIGWA ZANZIBAR

RASMI Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kwamba fainali ya CRDB Federation Cup inatarajiwa kuchezwa Zanzibar. Ni Uwanja wa New Amaan Complex unatarajiwa kutumika kwenye fainali ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Yanga ambao ni mabingwa watetezi watakabiriana na Azam FC ambapo kwenye fainali iliyopita walicheza na…

Read More

MWAMBA NTIBANZOKIZA KAIBUKA

MWAMBA Saido Ntibanzokiza anafikisha mabao 9 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 baada ya kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold. Mei 22 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Simba 4-1 Geita Gold ambapo pointi tatu mazima zilibaki Msimbazi. Ni Geofrey Julius…

Read More