WAJUE WAWAKILISHI WA KIMATAIFA

PAZIA la Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 limefungwa kwa kila timu kujua ilivuna nini baada ya kupanda kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 za jasho kuvuja kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Hakuna ambaye alikuwa hana mpango wa kutwaa taji la ligi ila ipo wazi ni lazima mshindi awe mmoja katika timu 16…

Read More

KIBU DENNIS KIUNGO WA KAZI AIGOMEA STARS

KIUNGO wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda Kibu Denis amekataa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa akidai anakwenda mapumziko nchini Marekani. Taarifa za uhakika zinasema baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na mechi dhidi ya Zambia kwa kuweka kambi ya siku 7 nchini Indonesia, Kibu alikaa…

Read More

MFALME WA PASI ZA MWISHO BONGO HUYU HAPA

UTAWALA mpya umesimikwa ndani ya Ligi Kuu Bara huku Klabu ya Azam FC ikiwa ni miongoni mwa timu ambazo zimefanya kweli kweye ushindani. Wakati wakiwa na mchezaji namba mbili kwenye chati ya ufungaji ambaye ni Feisal Salum akiwa katupia mabao 19 na pasi saba za mabao kuna mwamba anaongoza kwa pasi za mwisho. Ipo wazi…

Read More

ZIMBWE JUNIOR: HATUJAFIKIA MALENGO

NAHODHA msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Junior ameweka wazi kuwa hawajafikia malengo yao ndani ya msimu wa 2023/24 kwenye Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na mataji yote muhimu kuanzia Ligi Kuu Bara, CRDB Federation cUP na Ligi ya Mabingwa Afrika. Itashiriki Kombe la Shirikisho msimu wa 2024/25 baada ya kumaliza ligi…

Read More

AZAM FC NA HESABU ZAO

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa msimu wa 2023/24 ulikuwa na ushindani mkubwa na kila mchezaji alikuwa akitimiza majukumu yake. Ni wazi kuwa Azam FC inaungana na Yanga kupeperusha bendera ya Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ambapo ilimaliza ikiwa na pointi 69 baada…

Read More

FEI TOTO AFUNGUKIA TUZO YA AZIZ KI

MFUNGAJI namba moja kwa wazawa Feisal Salum anayetimiza majukumu yake ndani ya Azam FC amempa pongezi mfungaji bora wa ligi msimu wa 2023/24 ndani ya ligi. Ikumbukwe kwamba vita ya kiatu cha ufungaji bora ilikuwa kali kati ya Fei aliyemaliza msimu akiwa na mabao 19 huku Aziz KI akitupia jumla ya mabao 21. Nyota hao…

Read More

ISOME AZIZ KI HAKIKISHA

MABAO 21 kibindoni mwamba Aziz KI kakamikisha akiwa ni mfungaji bora msimu wa 2023/24 ambao umegota mwisho leo Mei 28 2024. Kwenye tuzo ya ufungaji bora hakikisha jina linasoma Aziz KI kwa kuwa amefanya kazi yake kwa ushirikiano mkubwa na wachezaji wengine ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ushindi wa mabao 4-1 waliopata Yanga mbele ya Tanzania Prisons umewapa pointi…

Read More

FUNGA KAZI 2023/24, MATOKEO HAYA HAPA

MWISHO wa ubishi imefahamika nani atakuwa nani kwenye kila idara ambapo Yanga mabingwa wa ligi na wanaye mfungaji bora ambaye ni Aziz KI akiwa katupia mabao 21 msimu wa 2023/24. Simba ngoma imegota mwisho ikiwa nafasi ya tatu huku Geita Gold na Mtibwa Sugar hizi zimeshuka daraja mazima. Matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa live…

Read More

YANGA 2-1 TANZANIA PRISONS, AZIZ KI KAWAKA

UWANJA wa Azam Complex Yanga 2-1 Tanzania Prisons Goal kwa Prisons Benno dakika ya 4 Mabao kwa Yanga ni Aziz KI dakika ya 9 na 11 FUNGA kazi msimu wa 2023/24 ni leo ambapo timu zipo kazini kusaka pointi tatu. Yanga ipo Uwanja wa Azam Complex, Simba Uwanja wa Mkapa inapambana na JKT Tanzania. Azam…

Read More

MTU WA KAZI ANASEPA YANGA

HUENDA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons utakuwa ni wa mwisho kwa Joyce Lomalisa kuwa na uzi wa njano na kijani. Kwenye mchezo uliopita dhidi ya Tabora United nyota huyo alitoq pasi moja ya bao kwa Aziz KI dakika ya 90 akiwa nje ya 18. Yanga ambao ni mabingwa wa ligi msimu…

Read More

Zaidi ya TZS Milioni 400 Kutolewa na Shindano la Expanse

Promosheni ya kuvuna mahela ya Meridianbet bado inaendelea kusaka washindi, Tsh 400,000,000/= zinakusubiri wewe, huenda unajichelewesha mwenyewe kuwa tajiri. Jisajili Meridianbet kisha shiriki kwenye shindano la kutafuta washindi kupitia michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Expanse. Wakati unaposhiriki shindano hili hakikisha tu unakuwa umejiandaa kutwaa ubingwa, mafanikio huanza na nia, katika safari…

Read More