FAINALI YA YANGA V AZAM KUPIGWA ZANZIBAR
RASMI Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kwamba fainali ya CRDB Federation Cup inatarajiwa kuchezwa Zanzibar. Ni Uwanja wa New Amaan Complex unatarajiwa kutumika kwenye fainali ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Yanga ambao ni mabingwa watetezi watakabiriana na Azam FC ambapo kwenye fainali iliyopita walicheza na…