ANAONDOKA MWAMBA HUYU WA KAZI NDANI YA SIMBA
MWAMBA wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba kiungo chaguo la kwanza Fabrince Ngoma anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusepa ndani ya kikosi hicho msimu wa 2023/24 itakapogota mwisho wa msimu.
MWAMBA wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba kiungo chaguo la kwanza Fabrince Ngoma anatajwa kuwa kwenye hesabu za kusepa ndani ya kikosi hicho msimu wa 2023/24 itakapogota mwisho wa msimu.
CHINI ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kushuka Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya fainali dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Hesabu kubwa za Azam FC ni kupata ushindi kwenye mchezo huo ili kutwaa taji la CRDB Federation Cup ambalo lipo mikononi mwa Yanga. Ikumbukwe kwamba…
KUNA mastaa ambao walikuwa wanatajwa kupigiwa hesabu na mabosi wa Simba na wengine walikuwa ndani ya Simba lakini wakapewa mkono wa asante kisha wakaibukia ndani ya kikosi cha Yanga ambapo huko wanapeta na maisha yanandelea kama kawaida
DEAR msomi ni zawadi ya mwamba Nacha A Sound From Nyasubi anakwambia mafanikio na elimu haviusiani unajikuta unajikuta dalali na ulisomea urubani, nyumbani huwezi kaa sio vimbetwa. Kazi kubwa ya ubongo wa mwamba anayefanya vema katika muziki wa kizazi kipya akiwa na mkali kutoka Morogoro Stamina halafu kiitikio ni sauti ya Mkwawa. Stamina anasema shepu…
INAELEZWA kuwa kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge anatajwa kuja kuchukua mikoba ya Abdelhak Benchikha ambaye amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola ambapo mchezo wao ujao ni dhidi ya Dodoma Jiji unatarajiwa kuchezwa Mei 17 2024 Uwanja wa Jamhuri,…
Rise of the Genie ni mchezo wa kasino ya mtandaoni KUTOKA Meridianbet wenye kusisimua kutoka kwa mtoa huduma iSoftBet, ambapo jukumu kuu linashikiliwa na jini mchawi. Mchezo huu unatoka kwenye hadithi za Aladin na visa vyake vya uchawi ambapo unapoucheza unakuwa kwenye sehemu ya kushinda mkwanja. Ushindi kwenye sloti ya Rise of the Genie unakuwa…
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa ndani ya miaka saba wakiwa na udhamini wa SportPesa wamefanya mengi ambayo yanaingia katika sehemu ya mafanikio. Rais huyo amebainisha kuwa kampuni ya SportPesa imewatoa Yanga kwenye wakati mgumu ambapo hawakuwa na mdhamini yoyote hivyo wakafanya mengi makubwa ndani ya miaka mitano na mkataba ulipoisha kampuni…
ANAITWA Jabir Seif Mpanda ameandika rekodi ya kuitumikia timu ya soka ya taifa ya Tanzania Taifa Stars akiwa amekamilisha miaka 17 na siku 98. Rekodi inayoonyesha kuwa mchezaji mdogo zaidi kuitwa kwa mara ya kwanza na kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Taifa Stars. Jabir anayekipiga katika timu ya U17 ya Getafe ya Hispania…
Manchester United na Chelsea zimeibuka na ushindi kwenye mechi zao huku Chelsea ikisogea mpaka nafasi ya sita kufuatia ushindi huo wakati Manchester United ikiendelea kusalia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. FT: Man United 3-2 Newcastle United ⚽ Mainoo 31’ ⚽ Diallo 57’ ⚽ Højlund 84’ ⚽ Gordon 49’ ⚽ Hall 90+2’…
PASI milioni shabiki wa Simba amefungukia ishu ya usajili wa timu ya Simba huku akibainisha kuhusu mtu wa kazi Henock Inonga na usajili wake Simba pamoja na kocha mpya
Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya ‘VAR’ kuanzia Msimu ujao – Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024 ambapo imeelezwa Bodi inatambua haki ya Wolves kutoa pendekezo hilo, lakini inadhani…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…
Kunako ligi kadhaa barani ulaya leo moto utawaka katika viwanja tofauti tofauti kwani vilabu kadhaa vitashuka dimbani kumenyana katika michezo ya mwisho mwisho ya kukamilisha ligi. Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti…
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…
YANGA baada ya kucheza mechi 27 safu yake ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 60 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo na pointi zake kibindoni ni 71. Kinara wa mabao ndani ya Yanga ni Aziz KI ambaye katupia jumla ya mabao 15 na pasi 8 za mabao. KI amehusika katika mabao 23 yaliyofungwa na Yanga…
AYOUB Lakred kipa wa Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za timu kutoka timu za Morocco ambazo zinahitaji saini yake nyota huyo chaguo la kwanza kwa Juma Mgunda
Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika. Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha…