
UZI MPYA SIMBA KUTAMBULISHA,SIMBA DAY KUWA YA KIPEKEE
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tamasha la Simba Day mwaka huu litakuwa la kipekee tofauti na zama. Ahmed Ally,Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kila kitu kinakwenda sawa. Tayari wageni wao ambao ni St George wamewasili Tanzania kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa…