
SHIGONGO ANOGESHA WIKI YA SIMBA DAY BUCHOSA
WANACHAMA na mashabiki wa Simba SC, Buchosa nao ni miongoni mwa wale ambao wanaendelea na shughuli za kijamii kabla ya maadhimisho ya Simba Day,Agosti 8,Uwanja wa Mkapa Wanachama hao ambao ni kutoka tawi la Simba Buchosa limeadhimisha sherehe hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii zilizohudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo. Akizungumzia…