
YANGA YATAMBA KUKOMBA KILA KITU
NDANI ya Yanga kwa sasa ni raha na vicheko tu kutokana na fedha ambazo zinaendelea kuingia kwenye timu hiyo kupitia wadhamini ambapo mabosi wa timu hiyo mapema tu wametamba wanataka kubeba mataji yote kama msimu uliopita. Mabosi hao wameongeza kuwa wanataka kubeba mataji yao yote waliyotwaa msimu uliopita ya Ngao ya Jamii, Ligi Kuu na…