
TAMBO MUHIMU LAKINI VITENDO VINAHITAJIKA ZAIDI
TAMBO kwa sasa kwa zinazidi kutawala ambapo kila mmoja anaamini kwamba amefanya usajili mzuri na anaweza kuchukua kila kitu ambacho anakihitaji. Ipo hivyo na ni maisha ya mpira hakuna anayeweza kuzuia maneno ambayo yanatokea lakini ukweli unabaki ukweli kwamba mpira unahitaji vitendo zaidi. Yale maneno ambayo yamekuwa yakitolewa na mashabiki pamoja na viongozi yana muda…