
MAPILATO YANGA V SIMBA HAWA HAPA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kuchezwa kesho Agosti 13 Uwanja wa Mkapa tayari sti ya waamuzi imewekwa wazi. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2022/23 unaotarajiwa kuanza Agosti 15,2022. Kwa upande wa mwamuzi wa kati ni Elly Sasii akisaidiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa msaidizi namba moja….