
BILA KUFUNGWA KIMATAIFA SIMBA KAZI HAIJAISHA
DAKIKA 180 kimataifa dhidi ya Nyassa Big Bullets lango la Simba lilikuwa salama chini ya kiongozi Aishi Manula aliyekuwa langoni. Huyu ni kipa namba moja ambaye anazidi kuwa imara kila anapokaa langoni na huwa anafanya makosa ambayo yanapelekea kufungwa. Kufungwa haina maana kwamba hayupo imara hapana ni matokeo ambayo yanatokea uwanjani na wakati unakuja anafanyia…