Home Sports VIDEO: HUYU HAPA KOCHA WA BIG BULLETS AKUBALI UKUBWA WA SIMBA

VIDEO: HUYU HAPA KOCHA WA BIG BULLETS AKUBALI UKUBWA WA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Big Bullets, Kalisto Pasciwa amebinisha kuwa amepoteza mchezo dhidi ya Simba kutokana na makosa ambayo wameyafanya pamoja na uimara wa wapinzani wao Simba jambo lililowafanya wakapoteza kwa kufungwa mabao 2-0, Uwanja wa Mkapa na mabao yakifungwa na Moses Phiri

Previous articleSIMBA YASONGA MBELE KIMATAIFA, PHIRI KAWA MCHARO
Next articleMILIONI 29: KUTANA NA MFALME, HONGERA KWA BINGWA WA BETI WIKI HII NA MERIDIANBET!