
KOCHA AZAM FC ATAJA FAIDA MCHEZO DHIDI YA TP MAZEMBE
KOCHA Mkuu wa Azam FC Denis Jean Lavagne ameweka wazi kuwa mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe utampa nafasi ya kuwajua wachezaji wake kwa ukaribu. Wachezaji 20 wa Azam FC wanatarajiwa kukwea pipa leo kuelekea Zambia kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya TP Mazembe. “Mazoezi ni mazuri…