Home Sports VIDEO: YANGA WAAMBIWA WAJIFUNZE KWA WATANI ZAO Sports VIDEO: YANGA WAAMBIWA WAJIFUNZE KWA WATANI ZAO September 21, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp MWANDISHI mkongwe wa masuala ya michezo Afrika Mashariki na Kati, Saleh Jembe ameweka wazi kuwa kimataifa sio kwepesi ni lazima kwa Yanga kujifunza ili kupata matokeo kwenye mechi zote watakazocheza