Home Sports VIDEO:SHABIKI YANGA AMFUNGUKIA MOSES PHIRI

VIDEO:SHABIKI YANGA AMFUNGUKIA MOSES PHIRI

SHABIKI wa Yanga amesema kuwa Fiston Mayele angepata nafasi ya kucheza dhidi ya Big Bullets angewafunga mabao mengi, amebainisha kuwa Yanga ni timu kubwa huku akibainisha kuwa mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri ni moja ya washambuliaji wazuri huku mzungu wa Simba akiwa ni wakawaida kwani hata Zawad Mauya huwa anafanya hivyo

Previous articleMSHERY KAONYESHA ANAWEZA AKIAMINIWA, KAZI BADO
Next articleVIDEO:JEMBE AWACHAMBUA WAPINZANI WAO KIMATAIFA