Home Sports VIDEO:JEMBE AWACHAMBUA WAPINZANI WAO KIMATAIFA

VIDEO:JEMBE AWACHAMBUA WAPINZANI WAO KIMATAIFA

MWANDISHI mkongwe katika masuala ya michezo Afrika Mashariki na kati ameweka wazi kuwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Zalan FC na Yanga umekwisha, Yanga walipata bahati kwa kuwa hawakupata timu ngumu kimataifa hilo limewasaidia kujipanga kuwa vizuri na hata Simba ingewapata hao ingepata bahati.

Kuhusu de Agosto ya Angola ambao ni wapinzani wa Simba ni moja ya timu ngumu huku faida yao ikiwa ni kuanzia ugenini na hakuna mechi nyepesi ambayo ipo kwa wawakilishi wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Previous articleVIDEO:SHABIKI YANGA AMFUNGUKIA MOSES PHIRI
Next articleKMC YASHINDA KWA MARA YA KWANZA NDANI YA LIGI