MANCHESTER UNITED YAAMBULIA MAUMIVU

 BAO pekee la ushindi kwa Real Sociedad dhidi ya Manchester United lilipachikwa dakika ya 59 kwa mkwaju wa penalti na mtupiaji alikuwa ni Brains Mendez kwenye mchezo wa Europa, Uwanja wa Old Trafford. Kwenye mchezo huo ni mashuti 15 yalipigwa kuelekea lango la Real Sociedad huku matatu pekee yakilenga lango. Real Sociedad wao walipiga jumla…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA KUANZA NA WAMALAWI KIMATAIFA

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini watafanya vizuri kwenye mechi yao dhidi ya Big Bullets inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi nchini Malawi ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mgunda amekabidhiwa mikoba kwa muda ndani ya Simba ambayo kwa sasa inatafuta kocha mpya baada ya kuachana na Zoran Maki aliyechukua mikoba ya…

Read More

SPORTPESA YACHANGIA SACCOS YA AKINA MAMA KIZIMKAZI

KAMPUNI ya michezo ya burudani na ubashiri Sportpesa wikiendi imeshiriki Tamasha maalum la kizimkazi na kuchangia mfuko wa Saccoss ya kina mama kwa ajili ya kuboresha hali zao za kiuchumi. Akizungumza wakati wa tamasha, baada ya kupewa nafasi ya kutoa neno la shukrani, Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Sportpesa Tarimba Abbas, amemshukuru Rais wa…

Read More

FEI TOTO ACHEKELEA KUTUPIA MABAO YA MBALI

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kufunga kwa ajili ya kuipa matokeo timu yake jambo ambalo anaamini kwamba litaendelea. Septemba 6,2022 Feitoto alitupia mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliokamilika kwa wababe hao kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Ni Azam FC waliaza kupachika…

Read More

SIMBA WAKWEA PIPA KUELEKEA MALAWI

KIKOSI cha Simba ambacho kipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda leo Septemba 8 kimeanza safari kuelekea nchini Malawi. Safari hiyo ni kwa ajili ya kuelekea kufanya maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali dhidi ya Big Bullets ya Malawi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 10,2022 na ule wa marudio unatarajiwa…

Read More

KOCHA MTIBWA ATAJA SABABU ZA KUPOTEZA MECHI TATU

ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa makosa ambayeo wameyafanya kwenye mechi tatu mfululizo yamewafanya waadhibiwe kwa kufungwa. Katwila amebainisha kwamba jambo ambalo halikuwa kwenye mpango waoni kupoteza mechi na hakuna mchezaji walakiongozi ambaye anapenda iwe hivyo. “Imetokea tumepoteza kwenye mechi zetu tatu hili ni jambo baya na hakuna ambaye anapenda kuona inakuwa hivyo…

Read More

NAPOLI WAICHAPA LIVERPOOL 4G

USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umewapa furaha Napoli wakiwa Uwanja wa Diego Armando Maradona kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Liverpool.  Ni mchezo wa kwanza kwa  Kundi A ambapo Liverpool hawajaamini ambacho wamekiona licha ya kupewa nafasi kubwa ya kuweza kupata ushindi kwenye mchezo huo. Mabao ya Napoli inayoongoza kundi ikiwa na pointi…

Read More

MTIBWA SUGAR WANABALAA HAO WAICHAPA IHEFU

MTIBWA Sugar imebakiza pointi zote tatu Uwanja wa Manungu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ihefu FC licha ya kutanguliwa kufungwa kwenye mchezo huo. Ilikuwa ni Uwanja wa Manungu ambapo nyota wa Ihefu Andrew Simchimba alipachika ao la kuongoza kwenye mchezo huo dakika ya 8,  Septema 7,2022   Mtibwa Sugar mabao yao yamefungwa na…

Read More