
YANGA NA AZAM FC KAMILI KUVAANA KWA MKAPA
TAMBO zimetawala kwa makocha wa Yanga na Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa kesho Septemba 6,2022 Uwanja wa Mkapa. Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi itakuwa nyumbani kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa ugenini. Ilikuwa mchezo dhidi ya Polisi Tanzania,ambapo ubao ulisoma…