
MWAKINYO ATAJA SABABU ZA KUPIGWA TKO
BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo ameomba msamaha kwa kushindwa dhidi ya mpinzani wake Liam Smith ambalo lilifanyika jijini Liverpool nchini Uingereza na Mwakinyo kushindwa kwa TKO. Kushinwa kwa Mwakinyo ambaye alikuwa anaipeperusha bendera ya Tanzania kulifanya maamuzi ya mchezo huo yakawa ni kumtangaza Liam Smith kama mshindi wa pambano hilo. Mwakinyo amemwaga machozi wakati alipokuwa akiwaomba…