
JUMA MGUNDA ATANGAZWA KUWA KOCHA SIMBA
MZAWA Juma Mgunda ametangazwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Klabu ya Simba atashirikiana na Selemani Matola kama kocha msaidizi. Mgunda ataongozana na kikosi cha Simba nchini Malawi kwa ajili ya mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets. Taarifa iliyotolewa na Simba kupitia Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara…