
MUUZA DUKA ASEPA NA KITITA CHA 113,789,620 KUTOKA M-BET
MKAZI wa Dar es Salaam Raphael Daudi amejishindia kitita cha Sh 113,789, 620 baada ya kubashiri kiusahihi mechi 12 za mchezo wa Perfect 12 unaondeshwa na kampuni ya M-Bet Tanzania. Daudi ambaye ni muuza duka eneo la Ubungo Riverside na shabiki wa Simba amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kwa yeye kushinda kiasi kikubwa cha fedha…