Home Sports VIDEO:WAPINZANI WA YANGA, ZALAN KUWASILI LEO

VIDEO:WAPINZANI WA YANGA, ZALAN KUWASILI LEO

WAPINZANI wa Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Zalan FC wanatarajiwa kuwasili leo Dar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 10,2022 ambapo Zalan wao watakuwa wenyeji wa mchezo huo

Previous articleVIDEO:SAKHO AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI,AHADI YAKE HII HAPA
Next articleJACKPOT ZA KIBABE NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!