
YANGA WAIPIGIA HESABU AL HILAL
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wameona ubora wa wapinzani wao Al Hilal ya Sudan hivyo watafanya maandalizi mazuri kupata matokeo. Nabi amesema ameona ubora wa Al Hilal ambao ameuficha kwa kukataa kuuweka wazi kwa kuhofia wapinzani kushtuka, zaidi akipanga kukiimarisha zaidi kikosi chake ili kuhakikisha anapata ushindi nyumbani na ugenini. “Mimi ni…