
MASTAA WAWILI CITY WAFUNGA TATUTATU DHIDI YA MAN U
UWANJA wa Etihad kwenye mchezo wa Ligi Kuu England mastaa wawili wa Klabu ya Manchester City wamefunga hat trick ikiwa ni Erling Haaland aliyetupia dakika ya 34,44,65. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Manchester City 6-3 Manchester United ikiwa ni dabi iliyokusanya mabao 9 baada ya mchezo huo kukamilika. Staa mwingine wa…