
BEKI MAGUIRE APATA WATETEZI HUKO
NAHODHA wa timu ya Taifa ya England, Harry Kane na beki Luke Shaw wameibuka na kumtetea mchezaji mwenzao, Harry Maguire. Beki huyo alifanya makosa mawili yaliyopelekea kufungwa mabao mawili kwenye mchezo uliochezwa Jumatano. England ililazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Wembley ukiwa ni wa Michuano ya Kimataifa…