RIO Ferdinand amefichua kuwa Sir Alex Ferguson alikuwa akiwaita Arsenal, ‘Watoto’ili kuamsha ari ya wachezaji wake wa Manchester United wakawachape wanapokutana.
Beki huyo wa zamani wa Man United amefichua kuwa Fergie daima alikuwa anawaambia wachezaji wake kuwa ‘nendeni mkawafunge watototo hao’ wakati akizungumza nao kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Ferdinand alisema:”Sir Alex Ferguson alikuwa akisema ‘Wapayukieni kwenye nyuso zao. Hawapendi hilo, hawawezi kuvumulia ni watoto.
“Wachezeeni kibabe na mtashinda mechi hii. Rio utawavuruga hakikisha unawazidi nguvu,” amesema.
Related News
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)