Home Sports VIDEO: MASTAA WATATU SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI

VIDEO: MASTAA WATATU SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI

MASTAA watatu wa Simba kesho wanatarajia kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo licha ya hao wachezaji kukosekana

Previous articleVIDEO: DODOMA JIJI WATEMBEZA MKWARA KWA SIMBA
Next articleANFIELD LIVERPOOL WAMEGAWANA POINTI NA BRIGHTON