
SIMBA YASONGA MBELE KIMATAIFA, PHIRI KAWA MCHARO
KATIKA mabao manne ambayo Simba imefunga kimataifa matatu yamefungwa na Moses Phiri ambaye kafunga mechi zote mbili hatua ya awali mfululizo. Mchezo wa awali uliochezwa nchini Malawi dhidi ya Big Bullets Phiri alitupia bao moja na lingine ni mali ya mzawa John Bocco. Leo Septemba 18,2022 wakati Simba ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Big…