
MECHI ZA SIMBA NA YANGA ZAPANGULIWA RATIBA MPYA IPO HIVI
HAYA hapa mabadiliko ya ratiba ya mechi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 Mchezo nambari 35 Kati ya KMC FC dhidi ya Mtibwa Sugar FC uliopangwa kuchezwa Septemba 27, 2022 saa 10:00 jioni, Uwanja wa Uhuru, Dar, utachezwa Octoba 15, 2022. Mchezo nambari 33 Kati ya Ruvu Shooting FC dhidi ya Coastal Union FC…