
MKUU WA MKOA WA DAR MAKALLA ATEMBELEA MO SIMBA ARENA
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju. Makala ameruhusu uongozi wa Klabu ya Simba kuendelea na mradi wa ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo hilo ukiwa ni mpango kazi wa ujenzi wa viwanja vya michezo. Aidha kiongozi huyo amewaagiza watu waliovamia eneo hilo kuhama ndani…