
MAYELE ACHEKELEA KUTUPIA CAF
MSHAMBULIAJI namba moja wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa anafuraha ya kuwa miongoni mwa nyota walioweka historia kwa kufunga mabao mengi Ligi ya Mabingwa Afrika. Mayele katupia mabao sita msimu huu alifunga hat trick mbili ilikuwa mbele ya Zalan FC kwenye mechi mbili za hatua ya awali. Nyota huyo amesema:”Ilikuwa ni mechi ngumu kwetu mbele…