
MKALI WA MIPIRA MIREFU AMEFUNGUA AKAUNTI YA MABAO
HASSAN Nassoro kiungo wa Mbeya City ni miongoni mwa wazawa wenye uwezo wa kupiga mipira mirefu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kiungo huyo mwenye rasta kichwani ni ingizo jipya ndani ya Mbeya City akitokea kikosi cha Dodoma Jiji. Alikuwa miongoni mwa nyota walioshuhudia timu hiyo ikipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Singida Big…