
GEITA GOLD WAMEUMALIZA MWENDO KIMATAIFA
MWENDO wa Geita Gold kimataifa umegota mwisho leo Septemba 17,2022 baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Hilal Al Sahil SC. NI faida ya bao la ugenini wanapata wapinzani wa Geita Gold ambao mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini walishinda kwa bao 1-0. Juma ni mabao 2-2 wanakuwa wamefungana na kuifanya Geita Gold kufungashiwa virago…