Home International RAHEEM ATUPIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

RAHEEM ATUPIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

RAHEEM Sterling wa Chelsea alipachika bao la kuongoza dakika ya 48 likawekwa usawa na Noah Okafor dakika ya 75 kwenye mchezo wa UEFA Champions League.

Ni mashuti 17 Chelsea walipiga Uwanja wa Stamford Bridge huku RB Salzburg wakipiga mashuti matatu na ni mashutu manne kwa Chelsea yalilenga lango na matatu yalilenga lango kwa RB Salzburg.

Ukitazama msimamo wa Kundi E ni pointi moja wanazo Chelsea nafasi ya nne huku wapinzani wao wakiwa na pointi mbili kibindoni.

Previous articleKUMBE! MAKAMBO ALIMUAMBIA AZIZ KI ATAFUNGA
Next articleSTARS WAPENI TABASAMU WATANZANIA