
SIMBA KAMILI KUVAANA NA WAJEDA, REKODI ZAO ZINAWATESA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wake Eagle kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho yapo tayari. Hawa ni Wajeda wanakabiliana na Simba ambayo iliukosa ubingwa huo mwaka jana 2021 na mabingwa walikuwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Simba haijawa na mwendo…