
KIUNGO MGUMU SIMBA KUIBUKIA GEITA GOLD
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa atamtumia kiungo wake mgumu kwenye mechi za ligi kwa kuwa adhabu yake itakuwa imegota mwisho. Kanoute alionyeshwa kadi mbili za njano mbele ya Coastal Union, Desemba 3,2022 ubao uliposoma Coastal Union 0-3 Simba ile ya kwanza alionyeshwa dakika ya 40 na ya pili alionyeshwa dakika ya 90….