
HUYU HAPA KIUNGO WA KAZI AMEMALIZANA NA GSM
TAARIFA zinaeleza kuwa, Klabu ya Yanga chini ya wadhamini wao Kampuni ya GSM, rasmi imemalizana na kiungo wa Uganda, Bobosi Byaruhanga na kumpatia mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kutua katika usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu. Bobosi ambaye alikuwa mchezaji huru kwa muda mrefu baada ya mkataba wake na…