EDNA Lema aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Princess mchezo wake wa kwanza akiwa nyumbani alipoteza mchezo huo na maneno yake ya mwisho aliweka wazi kuwa mpango kazi uligoma.
Desemba 8,2022 mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Uhuru na siku hiyohiyo, Lema na Mohamed Hussein walifungashiwa virago.