
ATEBA NA KAPOMBE PACHA INAYOTESA SIMBA
KUNA pacha zinazotesa ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids miongoni mwa hizo ni ile ya Leonel Ateba na Shomari Kapombe kutokana na kujibu kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Simba ni namba moja kwenye msimamo ikiwa na pointi 43 mchezo wao ujao wa ligi ni dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa…