MZEE wa Mashuka shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa ingizo jipya ndani ya Yanga linafanya mazoezi kwa ajili ya mechi ya tarehe 8 huku akibainisha kuwa wamejeruhiwa na kwenye mechi zote ambazo watacheza watapambana kufanya vizuri kwa kuwa walifanya makosa na watafanyia kazi kwenye anga la kimataifa wakirejea