
TABORA UNITED YAPOTEZA,SIMBA YAISHUSHA YANGA
IKIWA ugenini dhidi ya Tabora United Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 baada ya dakika 90 kukamilika. Leonel Ateba alifunga mabao mawili dakika ya 12 na 34 kwa mkwaju wa penalti baada ya Mpanzu kuchezewa faulo na beki wa Tabora United ndani ya 18. Ateba anafikisha mabao 7 sawa na kiungo mshambuliaji Jean Ahoua ambaye…