Leo hii mechi kali Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.
Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 itaendelea leo Toulouse atamenyana dhidi ya OGC Nice ambao wapo nafasi ya 5 wakati mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 10 kwenye ligi. Wametofautina pointi 8 pekee huku anayependelewa zaidi kushinda ni mgeni akiwa na ODDS 2.55 kwa 2.88. Tandika jamvi hapa.
Huku Angers wao baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Le Havre ambaye naye pia alipoteza mechi yake iliyopita ila kinachowatofautisha ni kwamba mgeni yeye ndiye kibonde wa ligi. Je beti yako unaiweka wapi leo ambapo ODDS za mechi hii ni 1.98 kwa 4.10. Jisajili hapa.
Marseille wataumana dhidi ya Lyon ambapo mara ya mwisho kukutana timu hizi mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi akiwa ugenini?. ODDS za mechi hii ni 2.07 kwa 3.40. Suka jamvi hapa.
Jumapili ya mshindo imewadia na Meridianbet ambapo nafasi ya kupiga pesa ni kubwa sana leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Ligi pendwa Duniani, EPL leo hii mechi za pesa zipo Manchester United atakipiga dhidi ya Crystal Palace ambapo mechi ya kwanza kukutana msimu huu, walitoshana nguvu yaani hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku Mashetani Wekundu wakipewa nafasi kubwa ya ushindi kwa ODDS 1.93 kwa 4.20. Bashiri hapa.
Vijana wa Ange Tottenham Hot Spurs baada ya kupoteza mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa ugenini dhidi ya Brentford ambao walishinda mechi yao iliyopita. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mkondo wa kwanza Spurs alishinda, hivyo leo hii ni zamu ya Nyuki kulipa kisasi. Je wataweza kweli?. Suka jamvimechi hii yenye ODDS 2.05 kwa 3.25.
Mechi kali Uingereza leo hii itakuwa ni kati ya Arsenal vs Manchester City ambapo kila timu inahitaji ushindi leo hii kufukuzia mbio za ubingwa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.05 kwa 3.70. Jisajili hapa.
Hispania pia LALIGA itaendelea Barcelona atakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi wakishinda mechi zao 5 pekee. Hans Flick na vijana wake wanahitaji pointi 3 leo ili wasiwe nyuma kwenye mbio za ubingwa. 1.17 kwa 15 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Pia Valencia atamkaribisha kwake Celta Vigo huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 4 pekee. Ikumbukwe kuwa mwenyeji yupo kwenye hali mbaya hadi sasa huku leo hii ni ushindi peke yake ndio anaohitaji. Je beti yako unaiweka wapi leo ambapo mechi hii ina ODDS 2.30 kwa 3.45. Bashiri hapa.
Utamu utakuwa kwenye mechi hii ya Real Betis vs Athletic Bilbao ambapo wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi mgeni kwa ODDS 2.45 kwa 3.00. Ikumbukwe kuwa ni sare iliyopatikana mechi ya mwisho walipokutana. Suka jamvi lako hapa.
Kwa upande wa SERIE A kule Italia nayo leo ipo ACF Fiorentina baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Genoa ambao nao walishinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 7 na mgeni wake yupo nafasi ya 12. Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 1.72 kwa 5.20. Jisajili hapa.
Lakini leo pale Itakuwa kuna Derby kali kabisa kati ya AC Milan vs Inter Milan ambapo vijana wa Inzaghi wanahitaji kulipa kisasi baada ya kupoteza mara mbili mfululizo kwa wao. Piga mkwanja mechi hii yenye ODDS 4.30 kwa 1.87. Bashiri hapa.
Na hapo baadae vinara wa ligi hiyo Napoli watasafiri kuchuana vikali dhidi ya AS Roma ambao kwenye mechi zao mbili za ligi wameshinda zote. Conte na vijana wake wanahitaji ushindi leo hii wazidi kukaa kileleni kwani mbio za ubingwa ni za moto sana. Je Roma watawazuia leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 3.05 kwa 2.50. Beti sasa.