
FADLU ATUMA UJUMBE KWA TABORA UNITED
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Tabora United utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kwa ajili ya kupata pointi tatu muhimu. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 Tabora United huu ni mchezo wa mzunguko wa…